Eneo bunge la Belgut ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kericho miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo.
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: Siasa na serikali ya Kenya
Developed by Nelliwinne